WARSHA YA PAMOJA KATI YA ZIAAT NA OFISI YA MKAGUZI MKUU WA NDANI ZANZIBAR

POSTED ON: 25-03-2026

Mkufunzi kutoka Taasisi ya Wakaguzi wa ndani Tanzania (IIA) CPA Alphone Muro akiendelea kutoa mafunzo kwa baadhi ya wakaguzi wa ndani kutoka katika Wizara na Taasisi za SMZ Warsha hiyo ya siku tano inaendelea katika Ukumbi wa Hoteli ya Misali Pemba