SEMINA YA PAMOJA KATI YA ZIAAT NA NBAA
POSTED ON: 29-01-2026
Taasisi ya Wahasibu, Wakaguzi na Washauri Elekezi wa Kodi Zaznibar (ZIAAT) na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania (NBAA) wameendelea kushirikiana katika semina za pamoja kama walivyokubalina katika Mkataba wa mashirikiano walitiliana saini Mei, 2025
Tarehe 28 - 30 Januari semina ya pamoja kati ya ZIAAT na NBAA imefanyika katika kituo cha Mikutano cha NBAA Bunju JIjini Dar es salaa