MAFUNZO YA WAJUMBE WA BODI NA KAMATI ZA UKAGUZI

POSTED ON: 17-12-2025

Baadhi ya wajumbe wa Bodi na Kamati za Ukaguzi kutoka Taasisi Mbali mbali wakiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa ZIAAT na TRO leo tarehe 17 Disemba, 2025 baada ya kuhudhuria mafunzo ya Uongozi na Ukaguzi wa Hesabu Mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Misali Pemba