WANAFUNZI WA TAALUMA YA KODI WAANZA MITIHANI
POSTED ON: 25-11-2025
Wanafunzi wa taaluma ya kodi ngazi ya awali na ngazi ya juu wameanza rasmi mitihani tarehe 24 Novemba, 2025. Mitihani hiyo inaendelea kufanyika katika Ukumbi wa Taasisi ya Wahasibu, Wakaguzi na Washauri Elekezi wa Kodi Zanzibar