CPA RUKIA HAMAD ABDULLA (KUSHOTO) AKIKABIDHI ZAWADI YA BEGI LA ZIAAT

POSTED ON: 26-10-2025

Mkurugenzi Idara ya Rasilimali watu, Mipango na Utawala kutoka ZIAAT CPA Rukia Hamad Abdulla (kushoto) akimkabidhi zawadi ya begi la ZIAAT Mkufunzi wa mafunzo ya Excel Ndg. Beatrice Faustine kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaa (UDSM) leo tarehe 26 Oktoba, 2025 katika Ofisi za ZIAA, Amani Mjini Zanzibar