WAFANYAKAZI WA ZIAAT WAPATIWA MAFUNZO YA (ADVANCED EXCEL)
POSTED ON: 23-10-2025
Wafanyakazi wa Taasisi ya Wahasibu, Wakaguzi na Washauri Elekezi wa Kodi Zanzibar (ZIAAT) leo tarehe 22 Oktoba, 2025 wamepatiwa mafunzo ya (Advanced Excel) kwa lengo la kuboresha utendji kazi wa watumishi wa ZIAAT Mafunzo hayo ya siku tano yanaendelea kutolewa na Mkufunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) Madam Beatrice Faustine na yanafanyika katika Ukumbi wa Ofisi za ZIAAT zilizopo Amani, Mjini Zanzibar