ZIAAT AND NBAA JOINT SEMINAR

POSTED ON: 21-08-2025

Naibu Waziri Ofisi ya Rais - Fedha na Mipango Mhe. Juma Makungu Juma ,Mwenyekiti wa Board kutoka ZIAAT CPA. Juma A Mohammed,Mkurugenzi Mtendaji wa ZIAAT CPA. Ame B Shadhil Pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA CPA Pius A. Maneno wakiwa Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Mbweni katika semina ya Pamoja ilifanyika katika hotel ya Zanzibar Beach Resort