ZIAAT AND NBAA JOINT SEMINAR

POSTED ON: 21-08-2025

Naibu Waziri Ofisi ya Rais - Fedha na Mipango Mhe. Juma Makungu Juma Leo tarehe 20 Agosti, 2025 amefungua rasmi semina ya pamoja kati ya ZIAAT na NBAA .Semina hiyo ya siku tatu inaendelea katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Mbweni